36 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu Hadiyth[1] inayomthibitishia Allaah kuwa na vidole ni kwa namna ya ukomekaji na kwamba vidole ni vitano?
Jibu: Ndiyo, kwa sababu vidole vinazunguka uumbaji wote (na viumbe vingine vyote viko kwenye kidole).
[1] Ahmad bin Muhammad bin Ziyaad ametukhabarisha huko Makkah: al-Hasan bin Muhammad az-Za´faraaniy ametuhadithia: Abu Mu´aawiyah ametuhadithia: al-A´mash ametuhadithia, kutoka kwa Ibraahiym, kutoka kwa ´Alqamah, kutoka kwa ´Abdullaah, ambaye amesimulia:
“Mwanachuoni wa kiyahudi alikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kusema: “Ee Abul-Qaasim! Hakika Allaah atawaweka viumbe juu ya kidole, mbingu kwenye kidole, ardhi juu ya kidole, bahari juu ya kidole na udongo juu ya kidole.” Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akacheka mpaka magego yake yakaonekana.” Ndipo Allaah (Jalla wa ´Azz) akashusha:
وَمَا قَدَرُوا اللَّهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّماوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ
”Hawakumkadiria Allaah inavyostahiki kukadiriwa! Ardhi yote itawekwa mkononi Mwake siku ya Qiyaamah na mbingu zitakunjwa mkononi Mwake wa kuume.” (ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 83 ya Ibn Mandah)
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 37
- Imechapishwa: 26/07/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
36 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu Hadiyth[1] inayomthibitishia Allaah kuwa na vidole ni kwa namna ya ukomekaji na kwamba vidole ni vitano?
Jibu: Ndiyo, kwa sababu vidole vinazunguka uumbaji wote (na viumbe vingine vyote viko kwenye kidole).
[1] Ahmad bin Muhammad bin Ziyaad ametukhabarisha huko Makkah: al-Hasan bin Muhammad az-Za´faraaniy ametuhadithia: Abu Mu´aawiyah ametuhadithia: al-A´mash ametuhadithia, kutoka kwa Ibraahiym, kutoka kwa ´Alqamah, kutoka kwa ´Abdullaah, ambaye amesimulia:
“Mwanachuoni wa kiyahudi alikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kusema: “Ee Abul-Qaasim! Hakika Allaah atawaweka viumbe juu ya kidole, mbingu kwenye kidole, ardhi juu ya kidole, bahari juu ya kidole na udongo juu ya kidole.” Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akacheka mpaka magego yake yakaonekana.” Ndipo Allaah (Jalla wa ´Azz) akashusha:
وَمَا قَدَرُوا اللَّهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّماوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ
”Hawakumkadiria Allaah inavyostahiki kukadiriwa! Ardhi yote itawekwa mkononi Mwake siku ya Qiyaamah na mbingu zitakunjwa mkononi Mwake wa kuume.” (ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 83 ya Ibn Mandah)
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 37
Imechapishwa: 26/07/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/vidole-vitano/