Uwekaji sharti ya I´tikaaf inakuwa kwa kutamka?

Swali: Je, kuweka sharti katika I´tikaaf inakuwa kwa kutamka?

Jibu: Ndiyo.

Swali: Je, inakubalika ikiwa mtu kwa mfano atasema “Sharti langu ni kutoka kuswali”?

Jibu: Inatoa kunuia, kwani matendo yanahesabiwa kwa nia.

Swali: Je, kuitamka ni Bid´ah?

Jibu: Hakuna tatizo ikiwa ataitamka, hata hivyo nia inatosha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25442/هل-يجوز-الاشتراط-في-الاعتكاف
  • Imechapishwa: 20/03/2025