Utekelezaji wa nadhiri ya kuswali Rak´ah 1.000?

Swali 635: Nini hukumu ya mtu aliyeweka nadhiri ya kuswali Rak´ah elfu moja?

Jibu: Hii ni nadhiri inayochukiza, ndani yake kuna mashaka na inampasa kutoa kafara ya kiapo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 225
  • Imechapishwa: 17/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´