Swali: Je, inafaa kwa mwanamke wa Kiislamu kuvaa mavazi ya kubana mbele ya dada zake na Mahaarim zake katika wanawake?
Jibu: Haifai kwake kufanya hivyo. Kwa sababu atakuwa ni mfano mbaya kwao na kwa wengine. Ni lazima kwake kujiheshimisha na mavazi yenye kusitiri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18359
- Imechapishwa: 10/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket