Swali: Ni ipi hukumu ya kuhudhuria sherehe ambazo kunafanywa Maulidi na kula katika chakula cha Maulidini?
Jibu: Kusherehekea Maulidi ni Bid´ah. Haijuzu kuhudhuria. Haijuzu kuhudhuria hafla za Maulidi wala kula chakula chake. Kwa kuwa huku ni kukubaliana nao na ni kushirikiana katika dhambi na uadui.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
- Imechapishwa: 03/04/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kuhudhuria sherehe ambazo kunafanywa Maulidi na kula katika chakula cha Maulidini?
Jibu: Kusherehekea Maulidi ni Bid´ah. Haijuzu kuhudhuria. Haijuzu kuhudhuria hafla za Maulidi wala kula chakula chake. Kwa kuwa huku ni kukubaliana nao na ni kushirikiana katika dhambi na uadui.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
Imechapishwa: 03/04/2018
https://firqatunnajia.com/usisherehekei-wala-kula-chakula-cha-maulidi/