Swali: Katika nchi yetu wanaweka ubao ambao wanaandika juu yake majina ya yule aliyekufa. Ni kipi ambacho ni wajibu kwetu kufanya juu ya vibao hivi pamoja na kuzingatia kwamba tukiviondosha kunaweza kutokea matatizo kati ya watu?
Jibu: Usiviondoshe. Wafunze watu, walinganie kwa Allaah na wabainishieni.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (93) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighstah%20-20-1-1440_0.mp3
- Imechapishwa: 12/04/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)