Swali 122: Ni kidhibiti gani cha usingizi unaochengua wudhuu´?

Jibu: Ikiwa hisia zimemwondoka, basi wudhuu´ wake umechenguka. Usingizi ni sababu ya kuchengua.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 63
  • Imechapishwa: 19/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´