Swali: Kuna kijana mwenye msimamo mzuri wa dini anayefanya kazi ngumu zinazopelekea kushindwa kuswali Fajr ndani ya wakati wake kutokana na uchovu mwingi.
Jibu: Ni wajibu kwake kuacha kazi ambayo inampelekea kuchelewesha Fajr. Njia zina hukumu sawa na malengo. Ikiwa anajua kuwa akiacha kujichosha basi ataweza kuswali Fajr ndani ya wakati wake, basi atalazimika kutofanya hivo ili aweze kuswali Fajr katika wakati wake pamoja na waislamu wengine.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/122)
- Imechapishwa: 24/05/2026
Swali: Kuna kijana mwenye msimamo mzuri wa dini anayefanya kazi ngumu zinazopelekea kushindwa kuswali Fajr ndani ya wakati wake kutokana na uchovu mwingi.
Jibu: Ni wajibu kwake kuacha kazi ambayo inampelekea kuchelewesha Fajr. Njia zina hukumu sawa na malengo. Ikiwa anajua kuwa akiacha kujichosha basi ataweza kuswali Fajr ndani ya wakati wake, basi atalazimika kutofanya hivo ili aweze kuswali Fajr katika wakati wake pamoja na waislamu wengine.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/122)
Imechapishwa: 24/05/2026
https://firqatunnajia.com/usingizi-mzito-unaopelekea-kukosa-fajr-kutokana-na-machovu/