Swali: Ni ipi hukumu ya anayekosa swalah ya mkusanyiko pamoja na waislamu wenzake kwa sababu ya kuwaamsha watoto wake? Ni kipi unachomnasihi?
Jibu: Namshauri kuwaamsha watoto wake kabla ya adhaana ili aweze kuswali na mkusanyiko. Haijuzu kwake kuacha swalah ya mkusanyiko kwa ajili eti ya kuwaamsha watoto wake. Ufumbuzi wa hilo ni yeye kuwaamsha mapema ili aweze kuwahi mkusanyiko. Ama kusubiri mpaka kukishatolewa adhaana ndio akawaamsha, pengine ni wengi na pengine wana usingizi mzito, ni kufanya uzembe.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/123)
- Imechapishwa: 24/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya anayekosa swalah ya mkusanyiko pamoja na waislamu wenzake kwa sababu ya kuwaamsha watoto wake? Ni kipi unachomnasihi?
Jibu: Namshauri kuwaamsha watoto wake kabla ya adhaana ili aweze kuswali na mkusanyiko. Haijuzu kwake kuacha swalah ya mkusanyiko kwa ajili eti ya kuwaamsha watoto wake. Ufumbuzi wa hilo ni yeye kuwaamsha mapema ili aweze kuwahi mkusanyiko. Ama kusubiri mpaka kukishatolewa adhaana ndio akawaamsha, pengine ni wengi na pengine wana usingizi mzito, ni kufanya uzembe.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/123)
Imechapishwa: 24/05/2026
https://firqatunnajia.com/anachelewa-mkusanyiko-kwa-ajili-ya-kuwaamsha-watoto-wake/