Swali: Ni ipi hukumu ya anayeswali swalah zote kwa mkusanyiko isipokuwa tu Fajr?
Jibu: Anapata dhambi kwa kuacha kwake kuswali Fajr kwa mkusanyiko. Ni lazima kwake kutubia kwa Allaah na aswali Fajr na mkusanyiko. Kunakhofiwa unafiki kwa yule ambaye hii ndio hali yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Swalah nzito zaidi kwa wanafiki ni swalah ya ´Ishaa na swalah ya Fajr. Endapo wangelijua yale yanayopatikana ndani yake basi wangeziendea ijapo kwa kutambaa.”[1]
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mjamuu´-ul-Fataawaa (12/123-124)
- Imechapishwa: 24/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya anayeswali swalah zote kwa mkusanyiko isipokuwa tu Fajr?
Jibu: Anapata dhambi kwa kuacha kwake kuswali Fajr kwa mkusanyiko. Ni lazima kwake kutubia kwa Allaah na aswali Fajr na mkusanyiko. Kunakhofiwa unafiki kwa yule ambaye hii ndio hali yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Swalah nzito zaidi kwa wanafiki ni swalah ya ´Ishaa na swalah ya Fajr. Endapo wangelijua yale yanayopatikana ndani yake basi wangeziendea ijapo kwa kutambaa.”[1]
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mjamuu´-ul-Fataawaa (12/123-124)
Imechapishwa: 24/05/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-zote-msikitini-isipokuwa-tu-fajr/