Swali: Haijuzu kwa mume kumzuia mkewe kwenda msikitini?
Jibu: Ndio, hana haki ya kumzuia. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Msiwazuie… “
Haifai kwake kumuasi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Vipi akimzuia kwa haja kwa mfano kuwalea watoto wake au kusimamia kazi ya nyumbani?
Jibu: Hapana:
”Msiwazuie wajakazi wa Allaah kutokana na misikiti ya Allaah. Hata hivyo nyumba zao ni bora kwao.”[1]
[1] Ahmad (2/76) na Abu Daawuud (567). Imesahihishwa na Ibn Khuzaymah (1684) na al-Haakim (755).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23921/هل-يجوز-منع-الزوجة-من-الذهاب-للمسجد
- Imechapishwa: 31/05/2024
Swali: Haijuzu kwa mume kumzuia mkewe kwenda msikitini?
Jibu: Ndio, hana haki ya kumzuia. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Msiwazuie… “
Haifai kwake kumuasi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Vipi akimzuia kwa haja kwa mfano kuwalea watoto wake au kusimamia kazi ya nyumbani?
Jibu: Hapana:
”Msiwazuie wajakazi wa Allaah kutokana na misikiti ya Allaah. Hata hivyo nyumba zao ni bora kwao.”[1]
[1] Ahmad (2/76) na Abu Daawuud (567). Imesahihishwa na Ibn Khuzaymah (1684) na al-Haakim (755).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23921/هل-يجوز-منع-الزوجة-من-الذهاب-للمسجد
Imechapishwa: 31/05/2024
https://firqatunnajia.com/usimuasi-mtume/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket