Swali: Je, kuna Hadiyth ambazo ni Swahiyh kuhusu kuhuisha usiku wa kuamkia siku mbili za ´iyd? Ni ipi Sunnah kuhusu nyusiku za ´iyd mbili?
Jibu: Hakuna Hadiyth Swahiyh kuhusu katika kuhuisha na kuufanya maalum. Sunnah ni kwamba usiku huo ni kama nyusiku nyenginezo.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 350
- Imechapishwa: 05/05/2025
Swali: Je, kuna Hadiyth ambazo ni Swahiyh kuhusu kuhuisha usiku wa kuamkia siku mbili za ´iyd? Ni ipi Sunnah kuhusu nyusiku za ´iyd mbili?
Jibu: Hakuna Hadiyth Swahiyh kuhusu katika kuhuisha na kuufanya maalum. Sunnah ni kwamba usiku huo ni kama nyusiku nyenginezo.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 350
Imechapishwa: 05/05/2025
https://firqatunnajia.com/usiku-wa-kuamkia-iyd/