Swali: Vipi kuhus kuapa kwenye biashara juu ya bidhaa fulani ikiwa, kwa mfano, nina hakika kwamba ni nzuri na bei yake ni nzuri na mimi nafanya wema?

Jibu: Hapana vibaya. Hata hivyo asiape kwa wingi. Apunguze viapo. Ni sawa kukiwa kuna haja ya kuapa na yeye ni mkweli. Lakini asiape kwa wingi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24511/هل-يجوز-الحلف-في-التجارة-مع-الصدق
  • Imechapishwa: 24/10/2024