Swali: Imamu anapokuwa anaomba du´aa mwishoni mwa Khutbah watu wengi huitikia ”Aamiyn” baada ya du´aa yake. Je, hili linahesabiwa kuwa ni katika maneno na kufanya upuuzi ndani ya Khutbah?
Jibu: Hapana, hakuna tatizo. Kila mtu aitikie ”Aamiyn” baina yake na nafsi yake pasi na kuleta usumbufu. Ni kama kuitikia ”Aamiyn” katika du´aa ya Qunuut.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31000/ما-حكم-التامين-على-الدعاء-في-خطبة-الجمعة
- Imechapishwa: 20/09/2025
Swali: Imamu anapokuwa anaomba du´aa mwishoni mwa Khutbah watu wengi huitikia ”Aamiyn” baada ya du´aa yake. Je, hili linahesabiwa kuwa ni katika maneno na kufanya upuuzi ndani ya Khutbah?
Jibu: Hapana, hakuna tatizo. Kila mtu aitikie ”Aamiyn” baina yake na nafsi yake pasi na kuleta usumbufu. Ni kama kuitikia ”Aamiyn” katika du´aa ya Qunuut.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31000/ما-حكم-التامين-على-الدعاء-في-خطبة-الجمعة
Imechapishwa: 20/09/2025
https://firqatunnajia.com/usiitikie-aamiyn-kwa-sauti-ya-juu-wakati-wa-duaa-ya-imamu-siku-ya-ijumaa/