Swali: Kuna mtu alipanga miadi na mwenzake na yule mwenzake akawa amechelewa. Akampigia simu na kumuuliza sababu ya kuchelewa, akajibu ya kwamba nisiwe mwenye haraka, kwani Allaah ameumba mbingu [na ardhi] kwa siku sita na wewe unataka mambo yafanyike mnamo dakika tano. Je, maneno haya ni munasibu?
Jibu: Ndio, ni munasibu. Mambo yasichukuliwa kwa haraka. Mbingu na ardhi vimeumbwa mnamo siku sita pamoja na kuwa Allaah ni muweza wa kuviumba mara moja tu. Hapa kuna hekima ya Allaah (´Azza wa Jall).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kuna mtu alipanga miadi na mwenzake na yule mwenzake akawa amechelewa. Akampigia simu na kumuuliza sababu ya kuchelewa, akajibu ya kwamba nisiwe mwenye haraka, kwani Allaah ameumba mbingu [na ardhi] kwa siku sita na wewe unataka mambo yafanyike mnamo dakika tano. Je, maneno haya ni munasibu?
Jibu: Ndio, ni munasibu. Mambo yasichukuliwa kwa haraka. Mbingu na ardhi vimeumbwa mnamo siku sita pamoja na kuwa Allaah ni muweza wa kuviumba mara moja tu. Hapa kuna hekima ya Allaah (´Azza wa Jall).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/usifanye-mambo-kwa-haraka/