Swali: Je, imethibiti kuwa Qiyaamah kitasimama siku ya Ijumaa?

Jibu: Ndio, imethibiti kuwa Qiyaamah kitakuwa siku ya Ijumaa. Hii ni miongoni mwa sifa za kipekee za siku ya Ijumaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020