Swali: Kuna mtu amesema kuwa desturi za watu wao ni kwamba wanavaa nguo inayovuka mafundo mawili ya miguu baada ya kunasihiwa.

Jibu: Haijalishi kitu ni ada ya watu wake. Asiafikiane nao. Asivae nguo inayovuka kongo mbili za miguu kama wanavofanya. Aende nao kinyume na awashauri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23310/حكم-من-كان-الاسبال-عادة-لقومه
  • Imechapishwa: 23/12/2023