Swali: Ni ipi hukumu kwa mfungaji mgonjwa wa mafigo kusafisha damu? Je, ni lazima kwake kulipa siku hiyo?
Jibu: Ni lazima kwake kulipa siku hiyo kwa sababu ya ile lishe anayopata ya damu safi. Akiongezea juu ya hayo nyenzo zengine basi ni vifunguzi vyengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Fataawaa al-Muta´allaqah bit-Twibb wa Ahkaam-il-Maradhw, uk. 125
- Imechapishwa: 24/04/2020
Swali: Ni ipi hukumu kwa mfungaji mgonjwa wa mafigo kusafisha damu? Je, ni lazima kwake kulipa siku hiyo?
Jibu: Ni lazima kwake kulipa siku hiyo kwa sababu ya ile lishe anayopata ya damu safi. Akiongezea juu ya hayo nyenzo zengine basi ni vifunguzi vyengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Fataawaa al-Muta´allaqah bit-Twibb wa Ahkaam-il-Maradhw, uk. 125
Imechapishwa: 24/04/2020
https://firqatunnajia.com/usafishaji-wa-damu-kwa-mfungaji/