Swali: Je, inatosha josho moja au mbili mtu akifa hali ya kuwa yuko katika janaba?
Jibu: Inatosha josho moja ambayo ataweka nia anayemwosha kwa ajili ya janaba na kwa ajili ya kifo kwa pamoja. Kama ilivyo kwa mwanamke akipatwa na hedhi huku ana janaba, kisha akaoga baada ya hedhi kwa nia ya hedhi na janaba. Kwa hiyo kusudio ni kwamba inatosha josho moja kwa nia moja. Anayemwosha anaweka nia ya janaba na anaweka nia ya kifo na inatosha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1608/اذا-مات-انسان-وهو-جنب-هل-تجزىه-غسلة-واحدة-ام-غسلتين
- Imechapishwa: 27/06/2026
Swali: Je, inatosha josho moja au mbili mtu akifa hali ya kuwa yuko katika janaba?
Jibu: Inatosha josho moja ambayo ataweka nia anayemwosha kwa ajili ya janaba na kwa ajili ya kifo kwa pamoja. Kama ilivyo kwa mwanamke akipatwa na hedhi huku ana janaba, kisha akaoga baada ya hedhi kwa nia ya hedhi na janaba. Kwa hiyo kusudio ni kwamba inatosha josho moja kwa nia moja. Anayemwosha anaweka nia ya janaba na anaweka nia ya kifo na inatosha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1608/اذا-مات-انسان-وهو-جنب-هل-تجزىه-غسلة-واحدة-ام-غسلتين
Imechapishwa: 27/06/2026
https://firqatunnajia.com/uoshwaji-kwa-maiti-aliyekufa-na-janaba/