Mwenye janaba anayetaka kuoga siku ya ijumaa

Swali: Je, kuoga janaba kunatosha badala ya kuoga kwa ajili ya ijumaa?

Jibu: Ndiyo, ikiwa ni mchana inatosha. Lakini ikiwa ataziweka nia zote mbili basi hilo ni bora zaidi; aweke nia ya yote mbili, aoge kwa ajili ya janaba huku akiweka pamoja nayo nia ya josho ya ijumaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1590/حكم-الاكتفاء-بغسل-الجنابة-عن-غسل-الجمعة
  • Imechapishwa: 27/06/2026