Swali: Mtu akiingia wakati kunaadhiniwa bora kwake asubiri adhaana imalizike kisha aswali swalah ya mamkuzi ya msikiti au aingie moja kwa moja kuswali swalah ya mamkuzi ya msikiti?

Jibu: Bora ni yeye kukusanya kati ya mambo mawili; amuitikie muadhini kisha aswali.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23800/هل-توجل-تحية-المسجد-للترديد-مع-الموذن
  • Imechapishwa: 04/05/2024