´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Anayeingia sokoni na akasema:
لا إِله إِلاَّ الله وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ له، له الملك ولَهُ الْحَمْد يُحْيي ويُمِيتُ و هو حي لا يموت، بيده الخير وَهُو على كُلِّ شيءٍ قدير
“Hakuna mungu kwa haki isipokuwa Allaah, Mmoja asiyekuwa na mshirika. Ni Wake ufalme na ni Zake himdi. Anahuisha na Kufisha. Naye yu hai asiyekufa. Kheri iko mikononi Mwake na Yeye juu ya kila jambo ni Muweza.”
Allaah humuandikia thawabu milioni, humfutia madhambi milioni na humnyanyua katika daraja milioni.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy.
Buraydah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anapoingia sokoni basi husema:
بسم الله اللهم إنى أسألك خير هذه السوق وخير ما فيها وأعوذ بك من شرها وشر ما فيها اللهم إني أعوذ بك أن أصيب فيها يمينا فاجرة أو صفقة خاسرة
“Kwa jina la Allaah. Ee Allaah! Hakika ninakuomba kheri ya soko hili na kheri ya kilichomo ndani yake. Na najikinga Kwako dhidi ya shari yake na shari ya kilichomo ndani yake. Ee Allaah! Hakika ninajikinga Kwako nisije nikafanya ndani yake kiapo cha uongo au biashara yenye khasara.”[2]
[1] at-Tirmidhiy (3428), ambaye amesema kuwa ni nzuri na ngeni. Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (3428).
[2] at-Twabaraaniy (2/21). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (4391).
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 362
- Imechapishwa: 16/09/2025
´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Anayeingia sokoni na akasema:
لا إِله إِلاَّ الله وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ له، له الملك ولَهُ الْحَمْد يُحْيي ويُمِيتُ و هو حي لا يموت، بيده الخير وَهُو على كُلِّ شيءٍ قدير
“Hakuna mungu kwa haki isipokuwa Allaah, Mmoja asiyekuwa na mshirika. Ni Wake ufalme na ni Zake himdi. Anahuisha na Kufisha. Naye yu hai asiyekufa. Kheri iko mikononi Mwake na Yeye juu ya kila jambo ni Muweza.”
Allaah humuandikia thawabu milioni, humfutia madhambi milioni na humnyanyua katika daraja milioni.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy.
Buraydah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anapoingia sokoni basi husema:
بسم الله اللهم إنى أسألك خير هذه السوق وخير ما فيها وأعوذ بك من شرها وشر ما فيها اللهم إني أعوذ بك أن أصيب فيها يمينا فاجرة أو صفقة خاسرة
“Kwa jina la Allaah. Ee Allaah! Hakika ninakuomba kheri ya soko hili na kheri ya kilichomo ndani yake. Na najikinga Kwako dhidi ya shari yake na shari ya kilichomo ndani yake. Ee Allaah! Hakika ninajikinga Kwako nisije nikafanya ndani yake kiapo cha uongo au biashara yenye khasara.”[2]
[1] at-Tirmidhiy (3428), ambaye amesema kuwa ni nzuri na ngeni. Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (3428).
[2] at-Twabaraaniy (2/21). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (4391).
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 362
Imechapishwa: 16/09/2025
https://firqatunnajia.com/unapofika-sokoni/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket