´Umrah zaidi ya 1 ndani ya siku moja

Swali 450: Vipi kuhusu kuikariri ´Umrah ndani ya siku hiyohiyo moja?

Jibu: Sijui ubaya wowote kufanya hivyo ikiwa ni kwa manufaa ya baba na mama yake waliokwishatangulia mbele za haki.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 160
  • Imechapishwa: 25/09/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´