Swali 382: Vipi kuhusu kufanya ´Umrah usiku wa tarehe ishirini na saba?

Jibu: Anatakiwa asijikalifishe na akawatia watu dhiki. Afanye ´Umrah katika mwezi mzima.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 133
  • Imechapishwa: 16/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´