Swali: Je, ni katika kujionyesha ikiwa mtu atakuja kumuuliza kuhusu matendo mema ambapo akayadhihirisha?

Jibu: Hapana, hapana vibaya ikiwa hakukusudia kujionyesha. Hapana vibaya kwa mfano ameulizwa kama amefunga jumatatu au alkhamisi ambapo akajibu kwa kuitikia. Hakukusudia kujionyesha amekusudia kutoa maelezo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24634/هل-يجوز-اظهار-العمل-الصالح-لمن-سال-عنه
  • Imechapishwa: 16/11/2024