Swali: Kuna mapote ambayo yanasherehekea usiku wa Nisfu Sha´baan na wanasema kuwa ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) alikuwa akisherehekea usiku huu. Tunaomba utubainishie hukumu?
Jibu: Wanamsemea uongo ´Umar. ´Umar hakuwa anafanya hivi. ´Umar ni miongoni mwa watu waliokuwa msitari wa mbele kabisa kujitenga mbali na Bid´ah na kutahadharisha nazo. Usiku wa Nisfu Sha´baan hakukuthibiti kitu na tarehe 15 Sha´baan hakuna swawm. Hili halikuthibiti. Hii ni miongoni mwa Bid´ah ambazo Allaah hakuteremsha dalili yoyote juu yake.
Mwenye kutaka kufanya ´ibaadah ashikamane na mambo yaliyowekwa katika Shari´ah na yale yaliyowekwa na Allaah na Mtume Wake. Haya hatamtosheleza na Bid´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14005
- Imechapishwa: 28/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)