Swali: Vipi kuhusu Hadiyth inayokataza kula kenge?
Jibu: Kiliochopokewa kuhusu katazo lake ni dhaifu. Sahihi ni kwamba ni halali, kama ilivyothibiti kwa al-Bukhaariy na Muslim.
Swali: Mtoaji maelezo amesema:
“Wanaosema kuwa kenge ni haramu wamejengea dalili kwa yale aliyopokea Abu Daawuud kwamba amekataza kenge.”?
Jibu: Hapana, si sahihi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25316/هل-صح-حديث-النهي-عن-اكل-الضب
- Imechapishwa: 27/02/2025
Swali: Vipi kuhusu Hadiyth inayokataza kula kenge?
Jibu: Kiliochopokewa kuhusu katazo lake ni dhaifu. Sahihi ni kwamba ni halali, kama ilivyothibiti kwa al-Bukhaariy na Muslim.
Swali: Mtoaji maelezo amesema:
“Wanaosema kuwa kenge ni haramu wamejengea dalili kwa yale aliyopokea Abu Daawuud kwamba amekataza kenge.”?
Jibu: Hapana, si sahihi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25316/هل-صح-حديث-النهي-عن-اكل-الضب
Imechapishwa: 27/02/2025
https://firqatunnajia.com/ulaji-wa-kenge/