Swali: Je, ukaazi ni sharti ya kuwajibika swalah ya ijumaa au ni sharti ya kusihi swalah ya ijumaa, kwa maana ya kwamba haisihi isipokuwa kwa sharti hilo?
Jibu: Swalah ya ijumaa haiwajibiki isipokuwa kwa sharti ya kuishi kwa kudumu mahali. Kwa maana kwamba haitekelezwi katika safari, bali inatekelezwa katika mji ambao watu wake wamekaa kwa utulivu na wanaishi humo kwa kudumu. Hii ni kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuiswali katika safari zake wala hakuwamrisha watu wa jangwani wanaohamahama kuiswali. Hivyo swalah ya ijumaa huswaliwa katika mahali ambapo waumini wanakaa kwa utulivu na wanaishi humo kwa kudumu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/234)
- Imechapishwa: 16/03/2026
Swali: Je, ukaazi ni sharti ya kuwajibika swalah ya ijumaa au ni sharti ya kusihi swalah ya ijumaa, kwa maana ya kwamba haisihi isipokuwa kwa sharti hilo?
Jibu: Swalah ya ijumaa haiwajibiki isipokuwa kwa sharti ya kuishi kwa kudumu mahali. Kwa maana kwamba haitekelezwi katika safari, bali inatekelezwa katika mji ambao watu wake wamekaa kwa utulivu na wanaishi humo kwa kudumu. Hii ni kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuiswali katika safari zake wala hakuwamrisha watu wa jangwani wanaohamahama kuiswali. Hivyo swalah ya ijumaa huswaliwa katika mahali ambapo waumini wanakaa kwa utulivu na wanaishi humo kwa kudumu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/234)
Imechapishwa: 16/03/2026
https://firqatunnajia.com/ukaazi-ni-sharti-ya-kuwajibika-kuswali-swalah-ya-ijumaa/