Swali 22: Kwa nini baadhi ya wanazuoni wanachukia kuwajadili wazazi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?

Jibu: Huu ni ujinga wao. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) anasema:

“Baba yako na baba yangu wako Motoni.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 34
  • Imechapishwa: 25/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´