Swali: Mwanamke ana watoto wanne ambao kila mmoja ana mama yake. Na yule anayemnyonyesha ndio mtoto wake. Je, watoto hawa wawili huzingatiwa kuwa ni ndugu wa kunyonya pamoja na kutofautiana kwa mama zao?
Jibu: Ndio. Huzingatiwa kuwa ni ndugu wa kunyonya hata kama kila mmoja ana mama yake.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=12
- Imechapishwa: 17/02/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Ni lazima kuwaunga ndugu wa kunyonya?
Swali: Mimi nina dada zangu wa kuchangia ziwa lakini tangu utotoni mwao hawatoki kuja kunisalimia na sikutani nao. Lakini hata hivyo namtembelea mama yao ambaye anazingatiwa kuwa ni mamangu wa kunyonya. Je, dada zangu wa kunyonya wana haki ya kuungwa kizazi na kutembelewa? Je, kama siwatembelei nazingatiwa kuwa ni mwenye…
In "Udugu na kuoana"
Uhakikishaji wa kunyonya kati ya wanandugu unafanywa na Qaadhiy
Swali: Kuna mtu ameoa na amezaa na mke wake watoto. Kisha baadaye ikaionekana kuwa mke wake alinyonyeshwa na mama yake. Ni ipi hukumu kwa hili? Jibu: Huyu aenda kwa Qaadhiy. Huyu aenda kwa Qaadhiy na amlete mnyonyaji na amuulize. Unyonyaji ukisihi kwa masharti yake watenganishwe. Watoto ni wa kwake kwa kuwa…
In "Unyonyeshaji"
Kumuoa binamu ambaye alinyonya kwa mama yangu
Swali: Dada yangu ni mdogo kwangu kwa miaka nane. Msichana wa ami yangu ana miaka hiyohiyo kama dada yangu na walinyonya ziwa moja. Mimi nataka kumuoa msichana wa ami yangu na mvulana wa ami yangu anataka kumuoa dada yangu. Kila mmoja anatoa mahari kivyake na si kupeana tu. Je, ndoa…
In "Udugu na kuoana"