Swali: Wachawi hutengeneza kitu ambapo mwanamke akapendeza kwa mwanaume na mwanaume akapendeza kwa mwanamke. Je, kitendo hichi kinafaa?
Jibu: Huo ni uchawi:
فَيَتَعَلَّمُونَ مِنْهُمَا مَا يُفَرِّقُونَ بِهِ بَيْنَ الْمَرْءِ وَزَوْجِهِ
“Basi wakajifunza kutoka kwa hao [Malaika] wawili yenye kupelekea kufarikisha kwayo kati ya mtu na mkewe.”[1]
Na kinyume chake ambao unamfanya mwanaume kupendeza zaidi kwa mkewe. Hio inaitwa at-Tiwalah:
”Hakika matabano, hirizi na at-Tiwalah ni shirki.”
at-Tiwalah ni uchawi.
[1] 02:102
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24611/حكم-عمل-ما-يحبب-المراة-للرجل-والعكس
- Imechapishwa: 09/11/2024
Swali: Wachawi hutengeneza kitu ambapo mwanamke akapendeza kwa mwanaume na mwanaume akapendeza kwa mwanamke. Je, kitendo hichi kinafaa?
Jibu: Huo ni uchawi:
فَيَتَعَلَّمُونَ مِنْهُمَا مَا يُفَرِّقُونَ بِهِ بَيْنَ الْمَرْءِ وَزَوْجِهِ
“Basi wakajifunza kutoka kwa hao [Malaika] wawili yenye kupelekea kufarikisha kwayo kati ya mtu na mkewe.”[1]
Na kinyume chake ambao unamfanya mwanaume kupendeza zaidi kwa mkewe. Hio inaitwa at-Tiwalah:
”Hakika matabano, hirizi na at-Tiwalah ni shirki.”
at-Tiwalah ni uchawi.
[1] 02:102
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24611/حكم-عمل-ما-يحبب-المراة-للرجل-والعكس
Imechapishwa: 09/11/2024
https://firqatunnajia.com/uchawi-wa-kuleta-mapenzi-kwa-wanandoa-unafaa/