Twawaaf kwa niaba ya mwengine

Swali 389: Vipi kuhusu kumfanyia Twawaaf kwa aliye hai asiyeweza?

Jibu: Sijafikiwa na kitu. Twawaaf ni swalah; hakuna anayepaswa kuswali kwa niaba ya mwingine. Mtu asiye na uwezo anatakiwa kubebwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 134
  • Imechapishwa: 17/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´