Swali: Uislamu unasema nini juu ya kuwatahiri wasichana na ni ipi dalili ya hilo?

Jibu: Ni jambo linalopendeza. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitaja mambo ya kimaumbile ambapo moja wapo akataja kutahiri, ambayo inakusanya wanaume na wanawake.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 348
  • Imechapishwa: 01/08/2025