Swali: Ni ipi tofauti kati kususa (الهجر) na kuapa kutomjamii (الإيلاء)?
Jibu: Anaweza kuapa na asimkate. Kususa ni kuacha kuongea naye au kumwingilia kabisa. Inategemea na aina ya ususaji. Anaweza kuapa kutomwingilia lakini anamzungumzisha. Akaapa kwamba hatomwingilia. Anaweza kulala usiku kwake na akamzungumzisha lakini asimjamii.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23889/ما-الفرق-بين-الهجر-والايلاء
- Imechapishwa: 25/05/2024
Swali: Ni ipi tofauti kati kususa (الهجر) na kuapa kutomjamii (الإيلاء)?
Jibu: Anaweza kuapa na asimkate. Kususa ni kuacha kuongea naye au kumwingilia kabisa. Inategemea na aina ya ususaji. Anaweza kuapa kutomwingilia lakini anamzungumzisha. Akaapa kwamba hatomwingilia. Anaweza kulala usiku kwake na akamzungumzisha lakini asimjamii.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23889/ما-الفرق-بين-الهجر-والايلاء
Imechapishwa: 25/05/2024
https://firqatunnajia.com/tofauti-kati-ya-kususa-na-kuapa-kutomwingilia-mke/