Swali: Shaykh Ibn ´Uthaymiyn ametaja maelezo yake ya ”Kitaab-ut-Tawhiyd” ya kwamba baadhi ya wanazuoni wametaja miongoni mwa tiba pale ambapo mume amefungwa kutokana na mkewe ni kwamba amtaliki kisha baadaye amrejee. Hapa Shaykh anasema kuwa hajui kuhusu kusihi kwake.
Jibu: Sijafikiwa na kitu na sijui msingi wake. Hayo yametangaa kwao, hata hivyo sijui kuwa lina msingi. Tiba ni yeye kujitibu kwa matabano na du´aa zilizowekwa katika Shari´ah na apate bishara njema.
Swali: Ni jambo limetangaa kwa nani?
Jibu: Kwa watu wa kawaida.
Swali: Amtaliki kisha amrejee?
Jibu: Hapana, halina msingi. Ni katika maneno ya watu wa kawaida yasiyokuwa na msingi. Watu wa kawaida wana mambo mengo ya ukhurafi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24615/ما-علاج-من-كان-محبوسا-عن-زوجته
- Imechapishwa: 14/11/2024
Swali: Shaykh Ibn ´Uthaymiyn ametaja maelezo yake ya ”Kitaab-ut-Tawhiyd” ya kwamba baadhi ya wanazuoni wametaja miongoni mwa tiba pale ambapo mume amefungwa kutokana na mkewe ni kwamba amtaliki kisha baadaye amrejee. Hapa Shaykh anasema kuwa hajui kuhusu kusihi kwake.
Jibu: Sijafikiwa na kitu na sijui msingi wake. Hayo yametangaa kwao, hata hivyo sijui kuwa lina msingi. Tiba ni yeye kujitibu kwa matabano na du´aa zilizowekwa katika Shari´ah na apate bishara njema.
Swali: Ni jambo limetangaa kwa nani?
Jibu: Kwa watu wa kawaida.
Swali: Amtaliki kisha amrejee?
Jibu: Hapana, halina msingi. Ni katika maneno ya watu wa kawaida yasiyokuwa na msingi. Watu wa kawaida wana mambo mengo ya ukhurafi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24615/ما-علاج-من-كان-محبوسا-عن-زوجته
Imechapishwa: 14/11/2024
https://firqatunnajia.com/tiba-kwa-aliyefungwa-kutokana-na-mke-wake-anashindwa-tendo-la-ndoa/