Swali: Imepokelewa katika baadhi ya Hadiyt kuwa Allaah (´Azza wa Jall) anashuka katika thuluthi ya mwisho ya usiku na zingine kwamba anashuka thuluthi ya kwanza ya usiku.
Jibu: Baadhi ya wanazuoni walijibu kuwa hili linaweza kutokea kutokana na tofauti za maeneo na mikoa. Kwenye baadhi ya maeneo, thuluthi ya kwanza ya usiku inaweza kuwa ni thuluthi ya mwisho katika maeneo mengine kutokana na utofauti wa wakati wa machomozo kama vile Amerika, Ulaya au hata Magharibi ya Uarabuni. Wengine wamesema kuwa hili ni kosa la ufanisi kutoka kwa baadhi ya wapokezi wa Hadiyth. Sahihi ni kwamba anashuka katika thuluthi ya mwisho ya usiku. Shayk Taqiyy-ud-Diyn ameandika juu ya suala hilo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25292هل-النزول-الالهي-كل-ليلة-في-الثلث-الاول-ام-الاخر
- Imechapishwa: 24/02/2025
Swali: Imepokelewa katika baadhi ya Hadiyt kuwa Allaah (´Azza wa Jall) anashuka katika thuluthi ya mwisho ya usiku na zingine kwamba anashuka thuluthi ya kwanza ya usiku.
Jibu: Baadhi ya wanazuoni walijibu kuwa hili linaweza kutokea kutokana na tofauti za maeneo na mikoa. Kwenye baadhi ya maeneo, thuluthi ya kwanza ya usiku inaweza kuwa ni thuluthi ya mwisho katika maeneo mengine kutokana na utofauti wa wakati wa machomozo kama vile Amerika, Ulaya au hata Magharibi ya Uarabuni. Wengine wamesema kuwa hili ni kosa la ufanisi kutoka kwa baadhi ya wapokezi wa Hadiyth. Sahihi ni kwamba anashuka katika thuluthi ya mwisho ya usiku. Shayk Taqiyy-ud-Diyn ameandika juu ya suala hilo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25292هل-النزول-الالهي-كل-ليلة-في-الثلث-الاول-ام-الاخر
Imechapishwa: 24/02/2025
https://firqatunnajia.com/thuluthi-ya-kwanza-au-thuluthi-ya-mwisho/