Swali: Nikiswalia mejeneza mengi napata thawabu mara moja au napata thawabu kwa kila jeneza moja?
Jibu: Udhahiri wa dalili ni kuwa unapata thawabu sawa na mlima wa Uhud mara mbili kwa kila jeneza moja. Hili ni kutokana na fadhila za Allaah zilizo pana. Qiraatw moja kwa kumswalia. Qiraatw nyingine ikiwa utasindikiza mpaka akazikwa. Vilevile inahusiana na yule atayemswalia mtoto na akamsindikiza mpaka akazikwa. Yeye pia ana ujira.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
- Imechapishwa: 03/01/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)