Thawabu kwa kila hatua wakati wa kwenda msikitini

Swali 288: Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu anayekwenda bafuni kisha baadaye akaenda msikitini. Je, anaandikiwa thawabu [kwa kila hatua]?

Jibu: Hadiyth ni yenye kuenea na Aayah ni yenye kuenea:

إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَىٰ وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ

”Hakika Sisi tuwanahuisha wafu na tunaandika yale waliyoyatanguliza na athari zao.”[1]

Kigezo ni usahihi wa nia.

[1] 36:12

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 103
  • Imechapishwa: 17/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´