Thawabu juu ya hajj ya mtoto na anayemfanyisha

Swali: Maneno yake Mtume(Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu hajj ya mtoto:

”… utapata thawabu yake.”?

Jibu:  Kwa maana juu ya matendo yake, kwa kuwa anamfanyisha Twawaaf, anamsaidia kutekeleza Sa‘y na ananuia kwa niaba yake. Kwa hiyo anapata thawabu.

Swali: Vipi kuhusu mtoto?

Jibu: Na mtoto ana thawabu zake. Wote, kwa sababu yeye pia amehiji. Kwa hiyo ana thawabu ya hajj.

Swali: Vipi kuhusu ‘Umrah?

Shaykh: Vivyo hivyo kuhusu ‘Umrah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28390/هل-في-حج-الصبي-يشمله-الاجر-ومن-حج-به
  • Imechapishwa: 19/04/2025