Thamani ya kichinjwa cha Udhhiyah kuzipa nchi masikini

Swali: Kutoa kile kiwango cha pesa cha Udhhiyah kuzipa nchi zinazohitaji.

Jibu: Hapana. Bora ni kuchinja. Achinje na wala asitoe thamani yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/6271/حكم-دفع-قيمة-الاضحية-لبلد-محتاج
  • Imechapishwa: 08/06/2024