Tawadha chooni, tamka Shahaadah nje

Swali: Ni ipi hukumu ya kutawadha chooni?

Jibu: Hapana vibaya akihitaji kufanya hivo. Hata hivyo atamke shahaadah wakati atapotoka.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24731/حكم-الوضوء-في-الحمام
  • Imechapishwa: 04/12/2024