Swali: Kuna mtu ametoa Tasliym kabla ya imamu. Ni ipi hukumu ya swalah yake?

Jibu: Ikiwa amekusudia swalah yake si sahihi. Ama akiwa si mwenye kukusudia arudi katika swalah yake na atoe Tasliym baada ya imamu. Katika hali hiyo hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (11) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/14466
  • Imechapishwa: 10/10/2017