Tasiri ya Swahabah ni sawa na maneno yake Mtume?

Swali 769: Pale ambapo tafsiri ya Swahabah haijapingwa na wengine – je, inayo hukumu ya kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Hapana, sahihi ni kwamba hiyo ni ijtihaad yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 259
  • Imechapishwa: 10/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´