Swali: Huku kwetu Misri kuna desturi ilioenea wakati wa tanzia ambapo wanapeana pole kwa kukumbatiana. Je, sifa hii ni Bd´ah?
Jibu: Hakuna neno. Ni mamoja watakumbatiana au kupeana mkono. Yote ni sawa.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://saif.af.org.sa/sites/default/files/07_14.mp3
- Imechapishwa: 16/09/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket