Tanguliza swalah ya sasa kisha lipa swalah iliyokupita

Swali: Swalah ya wakati wa sasa ikikutana naye ilihali kuna swalah iliyompita?

Jibu: Ataswali swalah ya sasa. Haya ndio maoni ya kikosi kikubwa cha wanazuoni. Lengo ni ili asikose swalah zote mbili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24783/اذا-ضاق-وقت-الحاضرة-وعليه-فاىتة-ايهما-يقدم
  • Imechapishwa: 15/12/2024