Swali: Je, talaka wakati wa nifasi ni yenye kupita?
Jibu: Ndio. Ni yenye kupita. Hata wakati wa hedhi; ni yenye kupita. Japokuwa ni haramu lakini hata hivyo ni yenye kupita.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
- Imechapishwa: 18/10/2017
Swali: Je, talaka wakati wa nifasi ni yenye kupita?
Jibu: Ndio. Ni yenye kupita. Hata wakati wa hedhi; ni yenye kupita. Japokuwa ni haramu lakini hata hivyo ni yenye kupita.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
Imechapishwa: 18/10/2017
https://firqatunnajia.com/talaka-wakati-wa-hedhi-na-nifasi/