Swali: Nje ya Saudi Arabia madhehebu ya Ahbaash yameenea na khaswa Ulaya. Je, ni makafiri?

Jibu: Hatuwezi kuwafanyia Takfiyr. Yule ambaye amefikiwa na haki anakufuru. Yule katika wao ambaye anaamini kuwa Allaah Yuko katika kila kitu (Huluul) na kwamba Allaah yuko kila mahala (Wahdat-ul-Wujuud) anakuru.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Fadhwilat-ish-Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy (1/445)
  • Imechapishwa: 30/08/2020