Takbiyr zilizoachiwa baada ya swalah za faradhi

Swali 811: Takbiyr zisizofungamana ndani ya siku kumi [za Dhul-Hijjah] zinaletwa baada ya zile swalah za faradhi?

Jibu: Hapana. Bali kuanzia siku ya tisa ya Dhul-Hijjah hadi ya kumi na tatu hukusanyika aina mbili za Takbiyr: iliyoachiwa na iliyofungamana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 291
  • Imechapishwa: 17/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´