Swali: Ni lipi bora zaidi mtu ahifadhi sehemu kubwa ya Qur-aan na pengine Qur-aan nzima pasi na kujua vizuri Tajwiyd au ajifunze Tajwiyd na aijue vizuri ijapo itachukua muda mrefu kama mwaka au zaidi kisha ndio aanze kuhifadhi?
Jibu: Hilo la pili.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 62
- Imechapishwa: 01/07/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)