Swali: Ni lipi bora zaidi mtu ahifadhi sehemu kubwa ya Qur-aan na pengine Qur-aan nzima pasi na kujua vizuri Tajwiyd au ajifunze Tajwiyd na aijue vizuri ijapo itachukua muda mrefu kama mwaka au zaidi kisha ndio aanze kuhifadhi?

Jibu: Hilo la pili.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 62
  • Imechapishwa: 01/07/2022